Kifo cha mtoto Baranyikwa Dismas

Bwana alitowa na bwana ametwa ,Jina la Bwana litukuzwe. Amin

Ni katika hali ya masikitiko makuba sana tulipo pata taarifa za kifo cha Shujaa mototo Baranyikwa Dismas ambae kwa kipindi cha miaka kumi na sita hivi alikuwa akisumbuliwa na gonjwa hatari la ukimwi…Na kwa bahati mbaya sana kwa kipindi kirefu hakutambul;ika nini iilicho kuwa kina msibu hadi hivi karibuni ilipogundulika kwamba laizaliwa na Vijidudu vinavyo sababisha ugonjwa wa ukimwi. Hakuna na kosa lolote lile kwa ameenda kwa baba yetu alie mbinguni akiwa safi kutokana na umri wake na kuzaliwa akiwa tayari ameathirika. Shujaa wetu huyo hakusita katu kuudhurishia ulimwengu na ndugu na jamaa wote kwamba tayari anasumbuliwa na gonjwa hilo hatari , na kutokana na msaada wa mara kwa mara kutoka kwa Ndugu Noe SEBISABA ambaye kwa kipindi irefu alikuwa mlezi wake na ndugu wa karibu , Baranyikwa aliweza kuishi katika ulimwengu huu bila majonzi makubwa ukilinganiosha na hali halisi ya afya yake kama mwenyewe alivyo sema ” Toka nilipojitangaza kwamba mimi ni mgonjwa wa ukimwi, nilipata nafuu sana na hata mwili wangu na uzito umeongezeka , hapo zamani nilikuwa kama nyasi ”
Tunatowa shukrani kwa wale wote kwa mabli ama kwa karibu waliweza kuwa na kijana wetu huu katika kipindi kigumu cha maisha yake hapa Duniani, na shukrani za dhati sana kwa ndugu Noe SEBISABA kwa moyo wa ukarimu uliyouonesha kwa kipindi chote hichi. Na hatiamye ni kwa jamii ya kitaifa na ile ya kimataifa kutupia jicho kwa wale ndugu zetu ambao kwa sababu mbali mbali zikiwemo za umasikini ama kutokuelewa ama maisha wamejikuta tayari wameambukizwa, kutowa msaada hususan kwa wale mayatima wa janga hili.

Leave a Reply

You must be logged in to post a comment.

Exterior Accessories Shop free porn VIDEO natural viagra soft tabs where to buy buying cialis without a prescription rx drugs buying cialis soft tabs online uk best herbal viagra free porn video moms on camera BIGBOOBPASS lesbian porn russian porn street blowjob free hot samples boob tits sativa rose tugjob video hairy sex pissing Samantha2 at titty temptress cialis for woman buy xanax online rx pills discount drug diazepam buy klipal in canada does lorazepam work for women buy levitra viagra buy buy cheap uk valium cheap drugs buy tramadol herbal oxazepam alternative Trazodon an alternative to tenuate blue order pill zyban