Kifo cha mtoto Baranyikwa Dismas
Thursday, May 12th, 2005Bwana alitowa na bwana ametwa ,Jina la Bwana litukuzwe. Amin
Ni katika hali ya masikitiko makuba sana tulipo pata taarifa za kifo cha Shujaa mototo Baranyikwa Dismas ambae kwa kipindi cha miaka kumi na sita hivi alikuwa akisumbuliwa na gonjwa hatari la ukimwi…Na kwa bahati mbaya sana kwa kipindi kirefu hakutambul;ika nini iilicho kuwa kina msibu […]